Magari bora, bei nafuu, na huduma ya haraka. Tupo Posta, Dar es Salaam – karibu tukupe gari unalolifaa. Wasiliana nasi leo!
Chagua gari lako kati ya magari yetu ya hali ya juu. Tunatoa uhakika, ushauri, na huduma ya baada ya mauzo.
Tunajenga uaminifu kwa kila mteja kwa kutoa huduma bora na magari ya uhakika.
Kila gari linapitia ukaguzi wa kina kabla ya kuuzwa.
Tunatoa bei shindani na mipango ya malipo rahisi.
Tunakusaidia kuhamisha umiliki wa gari kwa haraka.
Timu yetu iko tayari kukusaidia kila siku.
Njoo ofisini kwetu au wasiliana nasi kwa simu / WhatsApp. Timu yetu iko tayari kukuhudumia.
Karibu Soko Kuu la Posta, karibu na Posta Mpya. Tuna maegesho salama.
Tazama Ramani